Zijue Faida Za Kula Tikitimaji.Namba 13 Ni Habari Njema Kwa Wanaume>>>
Wengi tumekuwa tukila tunda maarufu kwa jina la tikiti maji bila kujua umuhimu wake mwilini mwetu.Leo katika pitapita yangu mitandaoni nikaona si vibaya nikushirikishe na wewe msomaji wa Mwerevu Blog faida zake.Wanasayansi na watafiti wa masuala ya afya kutoka sehemu mbalimbali dunia wamefanya tafiti nyingi na kugundua tunda hili lina faida nyingi pamoja na kuwa ni chanzo kikuu cha Protini, Mafuta, Nyuzinyuzi, Wanga,Calcium, Phosphorus, Chuma,Vitamin A,B6,C. Potasium, Magnesium, Carotene, anthocyanins na Virutubisho vingine vingi.


Ijue Gari Aina Ya Jaguar Iliyovunja Rekodi Ya Dunia.Video Yake Ninayo Hapa>>>>


Gari aina ya Jaguar imevunja rekodi na kuingia kwenye kitabu maarufu cha rekodi duniai cha Guiness.Gari hiyo iliweza kuzunguka juu ya loop ambayo imepanda hewani mita19 na kuweza kuzunguka nyuzi 360 kwa mwendo wa kasi ya ajabu.Hapa chini nimekuwekea video fupi ya takribani dakika mbili kuona hiyo ilivyovunja rekodi.


Zijue Aina Za Passport Na Namna Ya Kuzipata Kihalali>>>


TYPES OF PASSPORTS AND  TRAVEL DOCUMENTS

Ordinary Passport:

An ordinary passport may be issued to any citizen of the United Republic of Tanzania for the purpose of travelling outside the United Republic of Tanzania